Skip to content
1 Wafalme 20:41-42

1 Wafalme 20:41-42

41
Kisha yule nabii akajifunua macho yake haraka, na mfalme wa Israeli akamtambua kama mmoja wa manabii.
42
Akamwambia mfalme, “Hivi ndivyo Bwana asemavyo: ‘Umemwacha huru mtu niliyekusudia afe. Kwa hiyo ni uhai wako kwa uhai wake, watu wako kwa watu wake.’ ”
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options