মূল বিষয়বস্তুতে যান
Luka 15:31-32

Luka 15:31-32

31
“Baba yake akamjibu, ‘Mwanangu, umekuwa nami siku zote na vyote nilivyo navyo ni vyako.
32
Lakini ilitubidi tufurahi na kushangilia kwa sababu huyu ndugu yako alikuwa amekufa na sasa yu hai; alikuwa amepotea naye amepatikana.’ ”
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options