Skip to content
Waebrania 7:21-22

Waebrania 7:21-22

21
lakini Yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alimwambia: “Bwana ameapa naye hatabadilisha mawazo yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’ ”
22
Kwa ajili ya kiapo hiki, Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Options