Skip to content
Kutoka 4:22-23

Kutoka 4:22-23

22
Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza,
23
nami nilikuambia, “Ruhusu mwanangu aondoke, ili aweze kuniabudu mimi.” Lakini ukakataa kumruhusu kwenda, basi nitaua mwana wako mzaliwa wa kwanza.’ ”
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options