Skip to content
Matendo 22:21-22

Matendo 22:21-22

21
“Ndipo Bwana akaniambia, ‘Nenda, kwa maana nitakutuma mbali, kwa watu wa Mataifa.’ ”
22
Ule umati wa watu wakamsikiliza Paulo mpaka aliposema neno hilo, ndipo wakapaza sauti zao na kupiga kelele wakisema, “Mwondoeni duniani, hafai kuishi!”
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 90 chars

Options