Skip to content
1 Nyakati 23:1-2

Daudi amteua Sulemani na kuwakusanya viongozi

1 Nyakati 23:1-2
1
Daudi alipokuwa mzee aliyeshiba siku, akamfanya Solomoni mwanawe kuwa mfalme juu ya Israeli.
2
Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options